Posts

Showing posts from May, 2015

Christian Atsu will leave Everton

Image
Christian Atsu said on his facebook page that he would leave his club in this transfer season " I would like to take this opportunity to thank everyone at Everton for making me feel welcome during my time there this season. The fans, the staff, my teammates have all been very supportive" He add " I'm sorry that things didn't work out for me but I must look forward and am keen to take the next step in my football career. God bless everyone.  #Godisthereason  @everton"

Messi amburuza Ronaldo huku Alexis Sanchez kumipiku Hazard katika tuzo za msimu

Image
Wakati Leo Messi akitangazwa kuwa ni mchezaji bora wa mwaka katika ligi ya Uhispania kwa kunyakua asilimia 55.87 dhidi ya 35.37 asilimia alilozipata hasimu wake Cristiano Ronaldo ambapo Messi alionekana kuwa bora zaidi ya Ronaldo mara baada ya kuiwezesha timu yake kunyakuwa ubingwa wa ligi ya hispania kwa kuifungia magoli muhimu  na kutengeneza magoli mawili zaidi ya hasimu wake ambae alionekana kuwa vizuri zaidi katika ufungaji msimu huu huku akiwa tayari amefunga msimu kwa kufunga magoli 61 dhidi ya 56 ya Messi ambae amebakiwa na mechi mbili mkononi. Upande wa pili mchezaji hatari wa zamani katika timu ya Barcelona ambae kwa sasa anakipiga katika klabu ya Arsenal Alexis Sanchez ametajwa kuwa mshindi wa tuzo ya mashabiki ya PFA kwa msimu huu akimpiku Hazard wa Chelsea na Sergio Kun Aguero na mlinda mlango David de Gea

Leo Messi beats Cristiano Ronaldo wins AS` player of the year

Image
  Messi came first in the poll after receiving 55.87 percent of the vote, with Ronaldo finishing in second with 35.37 percent. The Argentina international helped Barca to lift the Primera Division title this season, while he also topped the league's assists charts with 18. James Rodriguez become the third one after receiving 5.89 percent of the vote with his 13 assist this season Antoine Grieziman of A. Madrid with Neymar of Barcelona at the forth and firth place after receiving 1.7 percent of the vote and 1.17 respectively

Gareth Bale​ wishing to Carlo Ancelotti​ but Cristiano Ronaldo​ still has a hope to work with him

Image
It seems that Carlo Ancellot will leave his club (Real Madrid) at the end of this season due to Gareth Bale post  " Thank you mister for the last 2 years!! Great manager and man, it's been a fantastic experience working with you. Wish you all the best in the future  Carlo Ancelotti " on his facebook fan page "but Cristiano Ronaldo he still has a hope to work with him next season

Messi awa bora zaidi msimu huu katika sehemu nyingi zaidi ya Ronaldo

Image
Kwa msimu huu Leo Messi ameonekana kuwa kwenye ubora wake baada ya kuisaidia timu yake kuchukua ubingwa wa ligi msimu huu na bado ana moto wa kubeba ubingwa wake wa nne wa ligi ya mabingwa ulaya akiwa na kikosi hiko ca Barca na ameonekana kuwa mzuri katika utumiaji wa mguu wake wa kulia kwa kupachika mabao zaidi ya 20 kati ya 56 aliyofunga katika msimu huu akiwa na ubora pia katika upande wa kukimbiza mpira takwimu ambazo kwa sasa kidunia mpinzania wake Ronaldo haonekani katika kumi bora lakini poa katika upande wa kugusa mipira mara nyingi zaidi uwanjani amekuwa mzuri pia katika utoaji wa pasi nyingi zaid uwanjani na pia amekuwa mtamu katika kutengeneza magoli huku akiwa tayari ameshatengeneza magoli 30 lakini mpinzani wake ameonekana kumzid upande wa magoli tu kwani ameonekana kushinda wavuni kitu ambacho kinamfanya kupungua ubora katika nafasi zingine mfano kutoa pasi za mwisho kukimbia na mpira kugusa na kutoa pasi mara nyingi.

LEGENDS SAY BYE BYE

Image
 Xavi Steven and Frank said bye to the fans after [laying the last games with their team, Lampard and Gerrard score the last goal for their team but Xavi miss two goals but he cried after Luic Enrique substitute him for Iniesta a sign of love to his team but he still have a chance to score bcoz it was the last Laliga game but he still have to games to play.

PAUL POGBA AITAMANI MADRID LAKINI DAVID LUIZ AJITAMBA PIA

Image
Pogba ameonekana kutarajia kutua katika klabu ya Real Madrid baada ya kipa wa zamani wa timu hiyo Francisco Buyo ambae ameonekana kuwa na uhakika wa Paul Pogba kutua katika klabu hiyo aliyo idakia kwa takribani michezo 500 huku akithibitisha kuwa taarifa hiyo imetokana na mazungumzo baina ya raisi wa timu hiyo Florentino Perez ambapo Pogba alitamka wazi kuwa anahitaji kuungana na wafaransa wenzie Karim Benzema na Raphael Verane lakini pia dili hiyo itapambishwa zaidi na mchezaji wa zamani wa Juventus na Real madrid ambae kwa sasa ni kocha wa timu B katika klabu yake ya zamani ya Real Madrid Zinedine Zidane ambae atatumika kuishawishi Juve kumuachia Pogba kutua Real Madrid kwani Pogba mwenyewe anaonekana kuwa tayari baada ya kutamka wazi kuwa anaipenda Real Madrid      Pia Madrid watakuwa na ushindani juu ya dili hiyo kwani Manchester city na PSG ya ufaransa wanaonekana kumtaka kwa hali na mali na juzi beki wa kibraziri David Luiz alisikika akitamka wazi kuwa anatumain ...

[WATCH VIDEO] CRISTIANO RONALDO AONYESHA UBINAFSI WA MAFANIKIO KULIKO TIMU YAKE YA REAL MADRID

Image
Katika siku za karibuni Cristiano Ronaldo aekuwa ni mtu wa kutafuta mafanikio binafsi na sifa binafsi kuliko mafanikio ya timu yake na wachezaji wenzake mara kadhaa amekuwa akionekana kugadhibika pale anapoona mchezaji fulani amefunga yeye akiwa hajafunga huwa haungani nae katika kushangilia ushindi wa goli husika au hata akienda huwa haonyeshi furaha ya goli lililofungwa au huonyesha hasira zaidi pale anapokuwa katika nafasi ya kufunga halafu akatokea mchezaji mwenzie na kufunga goli hilo yeye huonekana ni mtu mwenye hasira mithiri ya mtu aliyejifunga goli langoni mwa timu yake lakini yote kwa yote kubwa zaidi ni juzi baada ya wao kupata ushindi wa goli 4 kwa moja dhidi ya Espanyol ambako aliweka goli tatu na kufanikiwa kufikisha hat-trick ya 33 katika maisha yake ya soka na 26 katika ligi ya Hispania alionekana kuwa ni wenye furaha zaidi kuliko wote waliokuwa uwanjani kwa Espanyol walikuwa na huzuni ya kupoteza mchezo huwo na mashabiki na wachezaji wa Real Madrid walionekana kuwa ...

PEPE STOP CRISTIANO RONALDO TO CELEBRATE HIS OWN HAT-TRICK [WATCH]

Image
This was almost Cristiano Ronaldo in self-parody mode yesterday. When the final whistle blew at Espanyol, signalling a 4-1 win for Real Madrid, the 2015 Ballon D’Or was pressed to retrieve the match ball, which he was entitled to having scored a brilliant (and perfect) hat-trick. Marcelo launched the ball in Ronaldo’s direction, and he caught it earnestly, and looked very satisfied once he had it in his grasp. But his private hat-trick celebrations didn’t impress Pepe, who approached him and told him to tone it down – considering Real Madrid had just officially lost on the Liga title, Ronaldo’s celebration wasn’t really appropriate. He took Pepe’s advice on board, and immediately changed his demeanor, remembering to applaud the travelling fans.

DIAMOND ATOA MANENO YA KEJERI KWA ALIKIBA NA MATUSI KWA WEMA NA JOKATE

Image
Maneno aliyoyatoa Diamond msanii ambaye anaonekana kuwa wa kimatatifa zaidi kwa sasa juu ya Jokate na Wema kuonekana kuwa upande wa team Kiba yameonekana kuwa vijembe na matusi kwa watoto hawa wa kike

CHRISTIANO RONALDO GETS REVENGE ON GARETH BALE`S POOR PASS

Image
Cristiano Ronaldo gives Gareth Bale death stare for poor pass, childishly gets revenge on him [Video] By  Paul May 16, 2015 Comments 4 Gareth Bale has come in for heavy criticism for his performances at Real Madrid this season, but his defenders and fans protest that the Welshman isn’t getting enough support from his teammates. Indeed, there’s a growing feeling that Bale is being intimidated by dressing room leader Cristiano Ronaldo, who has visibly shown frustration at the Welshman on several occasions during games this season. And this footage from Real Madrid training today is pretty damning and conclusive. After a weak pass from Bale which put Ronaldo in trouble, Ronaldo hit Bale with a death stare, which Bale only missed thanks to Pepe’s intervention. Ronaldo then childishly took revenge on Bale, by purposely giving him a weak pass later on, meaning Bale would have to go into the middle. Ronaldo is clearly picking on Bale and treating hi...

BARCELONA YAJIUNGA NA YANGA

Image
Jana tulimshuhudia Leo messi akiisadia kuipa ubingwa timu yake ya Barcelona kwa kufikisha point 93 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote katika msimamo huo wa Laliga na kuwaacha wapinzani wao real madrid kwa point nne ambazo hawawezi kuzifikia hata kama Barcelona ikipoteza mechi yake ya mwisho inayofuata dhidi ya Deportivo na hata kama Madrid ikishinda dhid ya Getafe bado haitosaidia kutwaa ubingwa. Kwa ushindi wa jana Barca ikatangazwa kuwa bingwa wa Laliga msimu huu na kujinyakulia ubingwa kwa mara ya 23 tangu Barca ianze kutimua vumbi nchini Hispania na wamejiunga na Yanga rasmi kuwa bingwa katika ligi yao

WATCH [VIDEO] CHRISTIANO RONALDO GETS REVENGE ON GARETH BALE`S POOR PASS

Image
Cristiano Ronaldo gives Gareth Bale death stare for poor pass, childishly gets revenge on him [Video] Gareth Bale has come in for heavy criticism for his performances at Real Madrid this season, but his defenders and fans protest that the Welshman isn’t getting enough support from his teammates. Indeed, there’s a growing feeling that Bale is being intimidated by dressing room leader Cristiano Ronaldo, who has visibly shown frustration at the Welshman on several occasions during games this season. And this footage from Real Madrid training today is pretty damning and conclusive. After a weak pass from Bale which put Ronaldo in trouble, Ronaldo hit Bale with a death stare, which Bale only missed thanks to Pepe’s intervention. Ronaldo then childishly took revenge on Bale, by purposely giving him a weak pass later on, meaning Bale would have to go into the middle. Ronaldo is clearly picking on Bale and treating him like an outcast, and poor Bale clearly doesn’t have t...

SERGIO RAMOS ON CHRISTIANO RONALDO`S SELFISH

Image
Relations have become a bit tense between Cristiano Ronaldo and Sergio Ramos of late, according to various sectors of the Spanish media. Madrid-based El Chiringuito claim that Ramos told Ronaldo off after the Champions League semi-final 1st leg against Juventus, which Madrid lost 1-2. Ronaldo scored Madrid’s goal in Turin, but was far from his best overall, and El Chiringuito claim that Ramos reproached him for his selfish play afterwards. According to the Spanish show, the conversation went like this: ‘You can’t just score your little goal and forget the rest. You need to sacrifice yourself for the team more.’ El Chiringuito believe that Ramos reiterated his feelings to Ronaldo after the La Liga draw with Valencia last weekend, and after getting knocked out by Juventus in the return leg on Wednesday night. Ramos apparently didn’t appreciate Ronaldo’s gesture to the crowd after scoring, nor the fact that he was the first player to leave the pitch. The pair have gen...

KOCHA WA REAL MADRID ASIMAMISHWA MICHEZO MIWILI

Image
Kocha mkuu wa klabu ya Real Madrid abayo iko nyuma kwa alama nne nyuma ya Barca wanaongoza ligi katika msimamo wa ligi kuu ya Hisapania amesimamishwa au kuzuiliwa kuiyongoza timu yake katika michezo miwili katika ligi kuu ya Hispania. Mara baada ya mchezo dhidi ya Vallencia ambao waliambulia suruhu na kuweka pengo la alama nne dhidi vinara wa ligi hiyo Carlo Ancelotti alionekana kupanda hasira na kumvaa refa huku akidai kuwa kachezesha vibaya mchezo huwo na kusababisha kuongeza pengo la pointi katika mbio za kusaka ubingwa wa ligi hiyo. Katika mchezo huo tulishuhudia Ronaldo akikosa mkwaju wa penati na mpaka mwisho matokeo yakawa ni suruhu pacha ya goli 2-2        Kwa hivyo basi Ancelotti atakosa kuiyongoza timu yake hiyo kwa msimu huu mpaka msimu ujao kwa kuwa idadi ya mechi mbili alizosimamishwa ndizo idadi ya mechi zilizobaki katika ligi kwa hiyo hatokuwepo dhidi ya Espanyol na Getafe        Barcelona wao wanaongoza ligi kwa tofauti ya poin...

After 9 goals in seven games what haters say

Image
 QPR midfielder Joey Barton may not be the greatest player to ever grace the Premier League, but his opinions certainly carry some weight on Twitter. Barton is closing in on 3 million Twitter followers and has long held the view that Barcelona and Brazil star Neymar isn’t particularly good. It all started in February 2013, when Neymar played in a 2-1 defeat for Brazil at Wembley against England and failed to make much of an impact on the international game. Since then, Barton has labelled Neymar as a “show pony” and the “Justin Bieber of football,” which when you consider his exploits for Santos, Brazil and Barcelona seems a little harsh. Of late though, Neymar has moved to a different level of quality, scoring an amazing nine goals in seven games as Barcelona have romped to the verge of an astounding treble. On Tuesday night, after Neymar scored two first half goals against Bayern Munich, Joey Barton appeared to finally change his mind about the Brazilian. See the...

BREAKING NEWS RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI KAPINDULIWA NA JESHI LA NCHI HIYO

Image
  Ripoti kutoka Bujumbura zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa Burundi Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi itakayotawala taifa hilo kwa kipindi cha mpito. Kulingana na taarifa iliyopeperushwa na redio Isanganiro, serikali ya Nkurunziza imeon'golewa madarakani. Meja Generali Niyombareh amesema wamechukua hatua hiyo baada ya watu wa Burundi kukataa kwa kinywa kipana awamu ya tatu ya urais wa Nkurunziza. Jenerali huyo aliyetimuliwa na Nkurunziza mwezi februari anasema kuwa Nkurunziza alishindwa kuheshimu mwafaka wa amani mbali na sheria za kimataifa. Kwa sasa rais Nkurunziza yuko nchini Tanzania alipokuwa anatarajiwa kujumuika na viongozi wa kanda hii ya Afrika Mashriki kutafuta suluhu ya mgogoro wa Burundi tangu Nkurunzinza atangaze nia yake ya kuwania awamu ya tatu. Jenerali Niyombareh alikuwa ameandamana na vio...

SHILOLE AJIWEKA MTUPU SHOO ZAKE ZA NJE YA NCHI HATARI KWA WATOTO

Image
Mara kadhaa nimekuwa nikimsikia huyu dada msanii ambae nakubali kazi zake pia napenda maumbo yake akiyachezesha kwa jukwaa na kuwavutia  mashabiki wake mara zote amekuwa ni mtu wa kujiachia na kujiweka uchi na kujiacha wazi kimaumbile na kuacha wazi sehemu zake za mwili       Shishi mara nyingi amekuwa akijitamba kuwa wa kimataifa zaidi na kudai kufanya korabo na wasanii wa nje wakubwa kama Beyonce ambako mara kadhaa Yasinta alimpinga na kumuona muongo ila kwa sasa ameonekana kupata shoo kadhaa za nje ya nchi ambazo amekuwa akijiacha uchi zaidi ya afanyavyo katika shoo za ndani ya nchi alipokuwa jukwaani alibambiwa vya kutosha kwa maana shoo wanazoenda wasanii wengi wa Tanzania hazina majukwaa makubwa majukwaa yake ni ya chini ni kama baa flani au sebure flani ambapo msanii hawezi kuwekewa ulinzi wa kutokuguswa au kukumbatiwa lakini pamoja na hayo Shilole alionekana kujiweka uchi kwanza kwa mavazi aliyovaa lakini pia aliposhikwashikwa aliachwa kifua wazi na bila k...

CHRISTIAN RONALDO KUREJEA MANCHERSTER UNITED

Image
Mshindi wa tuzo ya uchezaji bora wa dunia mara mbili mfululizo Christian Ronaldo atarajiwa kurejea nyumbani alikopewa thamani kubwa na kujizolea mashabiki wengi OT ambako alijinyakulia tuzo ya uchezaji bora pia. Mwaka 2009 alisajiliwa kutoka manchester united kwa ada ya uhamisho iliyoweka record ya dunia ya thamani ya euro 80 ambayo ilikuja kuvunjwa na uhamisho uliyofanyika kumuondoa BALE kutoka SPURS kwenda klabu hiyo hiyo tajiri ya Real Madrid.      Kwa sasa Ronaldo anatarajiwa kutua OT kwa ada itakayovunja record ya uhamisho uingereza ambayo inashikiliwa na uhamisho wa ANGEL DIMARIA kutoka katika klabu hiyo hiyo ya Real Madrid, kwa upande wa man u watatakiwa kutoa kiasi kisichopungua euro 70 ili kumrejesha nyumbani mshambuliaji huyo matata mwenye magoli 42 katika ligi ya Spain hiyo ni kwa mujibu wa gazeti la SUN. Lakini pia goli kipa wa zamani wa Real Madrid Agustin Rodriguez amenukuliwa akisema ana uhakika wa uhamisho huwa kuwa Ronaldo atarea OT     ...

LIONEL MESSI NI MCHEZAJI BORA WA MUDA WOTE

Image
Kocha wa zamani wa klabu ya Barca PEP GUARDIOLA ameibuka na kusema kuwa Messi ni mchezaji bora wa muda wote akionekana kumfananisha na mchezaji mkongwe wa Brazil PELE. PEP aliyasema hayo jana baada ya kuishuhudia Barca ikikiondoa kikosi chake cha Bayern munich katika michuano ya ulaya kwa jumla ya magoli matano kwa matatu ambapo kwa siku ya jana Bayern waliibuka na ushindi wa goli 3-2 lakini pamoja na ushindi huo haukutosha kuizuiya Barca kuelekea BERLIN ambako ndipo finali hiyo itafanyika mnamo tarehe 6 juni.          "Messi ni mchezaji bora wa muda wote" alisema PEP "Naweza nikamfananisha na PELE na najisikia furaha kumuona katika ubora wake ule ule ambao alikuwa akiuwonyesha akiwa chini yangu" alisema PEP ambae alipata mafanikio wakati MESSI akiwa katika ubora wake kama sasa wakati ambao kocha huyo alikuwa akiinoa Barca kuanzia mwaka 2008 mpaka 2012 na kufanikiwa kubeba ubingwa wa ulaya mara mbili mwaka 2009 na mwaka 2011

WEMA NA LULU VITANI MTANDAONI

Image
Wema na Lulu wameonekana kukinzana kimaoni kuhusiana na sheria mpya iliyopitishwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA ambako kila mmoja ameonekana kutoa mawazo tofauti kuhusiana na sheria hiyo mpya iliyoanzishwa kwa ajili ya kulinda mawasiliano kimtandao sheria itambulikanayo kwa jiba la CYBERCRIME imeanzishwa ikiwa ni sehemu ya kutoa funzo kwa yule atakaetoa maneno ya matusi mtandaoni atatozwa faini ya kiasi cha shilingi laki 7.5               Kwa upande wa LULU ameonekana kuunga mkono sheria hiyo huku akirudi mtandaoni kwa nguvu zote na kudai kuwa sasa atakuwa huru kushare na kupost vitu vyake lakini kwa WEMA hali imekuwa ni tofauti akiponekana kupinga sheria hiyo na kudai kuwa itawabana mashabiki wake kwani wasipomdisi kwa kumtukana atajijuaje kama hayuko sawa na atapataje kukosolewa

Leo Messi on Laliga suspension

Image
Efforts are being made by the Liga de Fútbol Profesional (LFP) to avoid the suspension of La Liga and the Copa del Rey final. They have until May 16 to agree on terms with the Real Federación Española de Fútbol (RFEF) so that all Spanish competitions continue after such date. The first step for the LFP is to hold an extraordinary general assembly next Monday in the hope to avoid the strike. This would be a direct response to the decision that was taken by the RFEF in its general assembly on Wednesday. The LFP released a statement on their posture of the controversial announcement. "Regarding the decision adopted by the RFEF's General Assembly to indefinitely suspend all football competitions at every level, the LFP states that it has taken the corresponding legal actions in defence of the rights and legitimate interests of the clubs, as well as the rights of the competitions that it organises and that have been grossly affected by the aforementioned dec...

Ligi kuu ya Hispania Laliga yahairishwa

Image
Ligi kuu ya Uhispania La Liga imepigwa marufuku. Ligi kuu ya Uhispania La Liga imepigwa marufuku. Hatua hii inafuatia mtafaruku baina ya shirikisho la ligi kuu la Uhispania na serikali ya taifa kuhusiana na ugavi wa mapato ya haki miliki ya kupeperusha mechi. Pande zote zimeshindwa kukubaliana kuhusu ugavi wa mapato ya matangazo ya mechi za ligi hiyo maarufu duniani. Marufuku hiyo itaanza kutekelezwa juma lijalo tarehe 16 mei. Marufuku hiyo itaanza kutekelezwa juma lijalo tarehe 16 mei. Marufuku hiyo itaathiri zaidi ya wachezaji laki sita (600,000) na mechi elfu thelathini (30,000). Kufikia hizi sasa Barcelona inaongoza jedwali la La Liga,wakiwa na alama mbili pekee zaidi ya wapinzani wao wakuu Real Madrid huku zikiwa zimesalia mechi tatu tu msimu ukamilike. Serikali kuu imepitisha mswada mpya ambao utasimamia ugavi wa fedha zinazotokana na hati miliki ya matangazo ya mechi hizo za la Liga. Marufuku hiyo itaathiri zaidi ya wachezaji laki sita (600,000) na mechi elfu...

Alichokisema Jackie Chan baada ya mtoto wake kukamatwa kosa la uvutaji unga

Image
TNP PHOTO JACKIE CHAN ON SON'S DRUG ARREST: I FEEL ASHAMED AND MY HEART HURTS May 7, 2 015  Hong Kong superstar, Jackie Chan, 61, told The New Paper on Thursday he felt ashamed that his son, Jaycee, 32, served a six-month jail sentence for drug offences last year. Chan is Singapore's new anti-drug ambassador and made a special appearance at Nanyang Polytechnic today (May7).  He said he felt more compelled to take on this role because his family was also a victim to drugs. Jaycee was released from jail in February. Chan said: "I am shocked that this happened to my own family. I feel ashamed and my heart hurts. I will do my best to help others now."  He said his son was afraid to face the media and the world and was in hiding. Chan added: "However, I told him he needs to be brave because everyone makes mistakes." 

Ferdinand azidi kupitiya wakati mgumu

Image
Rio ferdinand Mke wa aliyekuwa nahodha wa kikosi cha Manchester United pamoja na timu ya Uingereza Rio Ferdinand amefariki kutokana na saratani. Mlinzi huyo wa kilabu ya QPR mwenye umri wa miaka 36 alitoa taarifa akisema mkewe mpendwa Rebecca Ellison aliaga dunia katika hospitali moja ya London. Marehemu Elison mwenye umri wa miaka 34 aliyeoana na Ferdinand mwaka 2009 alikuwa akiugua saratani ya titi. Rio Ferdinand na marehemu mkewe Amewaacha watoto watatu.katika taarifa hiyo Ferdinand amesema kuwa mkewe alifariki ijumaa usiku. ''Rebecca,mkewe wangu alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi na saratani katika hospitali ya Royal Marsden mjini London'',alisema mchezaji huyo wa soka

Torres could be crucial for Atletico Madrid

Image
Fernando Torres' reemergence could be crucial for Atletico Madrid Atletico Madrid head coach Diego Simeone has heaped praise on striker Fernando Torres, who score Atletico Madrid's winner against Villarre For a split second, it looked like Fernando Torres was going to mess it all up. He had nipped in ahead of dallying Villarreal defender Eric Bailly on halfway and was careening toward goal with the kind of speed and purpose he has all too seldom shown since leaving Liverpool in January 2011. Villarreal goalkeeper Sergio Asenjo got a hand to the ball as the 31-year-old rounded him. It might have knocked the forward, who has seemed low on confidence and self-esteem recently, out of his stride, but he just about kept control of the ball -- and his footing. Then he showed remarkable composure to dance around a despairing lunge from Bailly and wait for Victor Ruiz to commit himself on the line before slotting into an empty net to win the game for Atleti in a 1-0 result. ...