Messi awa bora zaidi msimu huu katika sehemu nyingi zaidi ya Ronaldo

Kwa msimu huu Leo Messi ameonekana kuwa kwenye ubora wake baada ya kuisaidia timu yake kuchukua ubingwa wa ligi msimu huu na bado ana moto wa kubeba ubingwa wake wa nne wa ligi ya mabingwa ulaya akiwa na kikosi hiko ca Barca na ameonekana kuwa mzuri katika utumiaji wa mguu wake wa kulia kwa kupachika mabao zaidi ya 20 kati ya 56 aliyofunga katika msimu huu akiwa na ubora pia katika upande wa kukimbiza mpira takwimu ambazo kwa sasa kidunia mpinzania wake Ronaldo haonekani katika kumi bora lakini poa katika upande wa kugusa mipira mara nyingi zaidi uwanjani amekuwa mzuri pia katika utoaji wa pasi nyingi zaid uwanjani na pia amekuwa mtamu katika kutengeneza magoli huku akiwa tayari ameshatengeneza magoli 30 lakini mpinzani wake ameonekana kumzid upande wa magoli tu kwani ameonekana kushinda wavuni kitu ambacho kinamfanya kupungua ubora katika nafasi zingine mfano kutoa pasi za mwisho kukimbia na mpira kugusa na kutoa pasi mara nyingi.

Comments

Popular posts from this blog

Putting African on Mobile market, through VMK

NIGERIAN SOLDIERS CATCH BOKO HARAM LEARDER ON BORNO.