PAUL POGBA AITAMANI MADRID LAKINI DAVID LUIZ AJITAMBA PIA

Pogba ameonekana kutarajia kutua katika klabu ya Real Madrid baada ya kipa wa zamani wa timu hiyo Francisco Buyo ambae ameonekana kuwa na uhakika wa Paul Pogba kutua katika klabu hiyo aliyo idakia kwa takribani michezo 500 huku akithibitisha kuwa taarifa hiyo imetokana na mazungumzo baina ya raisi wa timu hiyo Florentino Perez ambapo Pogba alitamka wazi kuwa anahitaji kuungana na wafaransa wenzie Karim Benzema na Raphael Verane lakini pia dili hiyo itapambishwa zaidi na mchezaji wa zamani wa Juventus na Real madrid ambae kwa sasa ni kocha wa timu B katika klabu yake ya zamani ya Real Madrid Zinedine Zidane ambae atatumika kuishawishi Juve kumuachia Pogba kutua Real Madrid kwani Pogba mwenyewe anaonekana kuwa tayari baada ya kutamka wazi kuwa anaipenda Real Madrid
     Pia Madrid watakuwa na ushindani juu ya dili hiyo kwani Manchester city na PSG ya ufaransa wanaonekana kumtaka kwa hali na mali na juzi beki wa kibraziri David Luiz alisikika akitamka wazi kuwa anatumain kuwa Pogba atakuwa iungoni mwao.

Comments

Popular posts from this blog

Putting African on Mobile market, through VMK

NIGERIAN SOLDIERS CATCH BOKO HARAM LEARDER ON BORNO.