SHILOLE AJIWEKA MTUPU SHOO ZAKE ZA NJE YA NCHI HATARI KWA WATOTO

Mara kadhaa nimekuwa nikimsikia huyu dada msanii ambae nakubali kazi zake pia napenda maumbo yake akiyachezesha kwa jukwaa na kuwavutia  mashabiki wake mara zote amekuwa ni mtu wa kujiachia na kujiweka uchi na kujiacha wazi kimaumbile na kuacha wazi sehemu zake za mwili
      Shishi mara nyingi amekuwa akijitamba kuwa wa kimataifa zaidi na kudai kufanya korabo na wasanii wa nje wakubwa kama Beyonce ambako mara kadhaa Yasinta alimpinga na kumuona muongo ila kwa sasa ameonekana kupata shoo kadhaa za nje ya nchi ambazo amekuwa akijiacha uchi zaidi ya afanyavyo katika shoo za ndani ya nchi alipokuwa jukwaani alibambiwa vya kutosha kwa maana shoo wanazoenda wasanii wengi wa Tanzania hazina majukwaa makubwa majukwaa yake ni ya chini ni kama baa flani au sebure flani ambapo msanii hawezi kuwekewa ulinzi wa kutokuguswa au kukumbatiwa lakini pamoja na hayo Shilole alionekana kujiweka uchi kwanza kwa mavazi aliyovaa lakini pia aliposhikwashikwa aliachwa kifua wazi na bila kujali aliendelea kuwafunulia zaid na kujibinua kimahaba ili awape raha mashabiki wake
        USHAURI KWA SHILOLE "JARIBU KUMUANGALIA VANNESA MDEE NINI ANAFANYA ILI KUFIKA MBALI AU KAMA HUWEZI MUANGALIE KOMANDO LADY JAY DEE ANA HESHIMA YA KUTOSHA KWENYE MZIKI WAKE NA FAN BASE YA KUTOSHA LAKINI HAKAI UCHI SO KUKAA UCHI SIO KUUJENGE MZIKI WAKO

Comments

Popular posts from this blog

Putting African on Mobile market, through VMK

NIGERIAN SOLDIERS CATCH BOKO HARAM LEARDER ON BORNO.