[WATCH VIDEO] CRISTIANO RONALDO AONYESHA UBINAFSI WA MAFANIKIO KULIKO TIMU YAKE YA REAL MADRID
Katika siku za karibuni Cristiano Ronaldo aekuwa ni mtu wa kutafuta mafanikio binafsi na sifa binafsi kuliko mafanikio ya timu yake na wachezaji wenzake mara kadhaa amekuwa akionekana kugadhibika pale anapoona mchezaji fulani amefunga yeye akiwa hajafunga huwa haungani nae katika kushangilia ushindi wa goli husika au hata akienda huwa haonyeshi furaha ya goli lililofungwa au huonyesha hasira zaidi pale anapokuwa katika nafasi ya kufunga halafu akatokea mchezaji mwenzie na kufunga goli hilo yeye huonekana ni mtu mwenye hasira mithiri ya mtu aliyejifunga goli langoni mwa timu yake lakini yote kwa yote kubwa zaidi ni juzi baada ya wao kupata ushindi wa goli 4 kwa moja dhidi ya Espanyol ambako aliweka goli tatu na kufanikiwa kufikisha hat-trick ya 33 katika maisha yake ya soka na 26 katika ligi ya Hispania alionekana kuwa ni wenye furaha zaidi kuliko wote waliokuwa uwanjani kwa Espanyol walikuwa na huzuni ya kupoteza mchezo huwo na mashabiki na wachezaji wa Real Madrid walionekana kuwa na huzuni kubwa baada ya Barcelona kutangazwa kuwa bingwa wa Laliga kwa msimu wa waka 2014/15 lakini Ronaldo hakuliona umuhimu wa kombe zaidi ya hat-trick aliyofunga na mara baada ya Marcelo kumrushia mpira Ronaldo alionyesha furaha ya hali ya juu na kusahau kuwashukuru mashabiki kama walivyokuwa wakifanya wachezaji wenzie lakini PEPE alipoliona hilo aliamua kwenda na kumsihi mreno mwenzie asifanye hivyo maana mashabiki walihitaji kombe sio hat-trick.
Comments
Post a Comment