BARCELONA YAJIUNGA NA YANGA
Jana tulimshuhudia Leo messi akiisadia kuipa ubingwa timu yake ya Barcelona kwa kufikisha point 93 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote katika msimamo huo wa Laliga na kuwaacha wapinzani wao real madrid kwa point nne ambazo hawawezi kuzifikia hata kama Barcelona ikipoteza mechi yake ya mwisho inayofuata dhidi ya Deportivo na hata kama Madrid ikishinda dhid ya Getafe bado haitosaidia kutwaa ubingwa. Kwa ushindi wa jana Barca ikatangazwa kuwa bingwa wa Laliga msimu huu na kujinyakulia ubingwa kwa mara ya 23 tangu Barca ianze kutimua vumbi nchini Hispania na wamejiunga na Yanga rasmi kuwa bingwa katika ligi yao
Comments
Post a Comment