CHRISTIAN RONALDO KUREJEA MANCHERSTER UNITED

Mshindi wa tuzo ya uchezaji bora wa dunia mara mbili mfululizo Christian Ronaldo atarajiwa kurejea nyumbani alikopewa thamani kubwa na kujizolea mashabiki wengi OT ambako alijinyakulia tuzo ya uchezaji bora pia. Mwaka 2009 alisajiliwa kutoka manchester united kwa ada ya uhamisho iliyoweka record ya dunia ya thamani ya euro 80 ambayo ilikuja kuvunjwa na uhamisho uliyofanyika kumuondoa BALE kutoka SPURS kwenda klabu hiyo hiyo tajiri ya Real Madrid.
     Kwa sasa Ronaldo anatarajiwa kutua OT kwa ada itakayovunja record ya uhamisho uingereza ambayo inashikiliwa na uhamisho wa ANGEL DIMARIA kutoka katika klabu hiyo hiyo ya Real Madrid, kwa upande wa man u watatakiwa kutoa kiasi kisichopungua euro 70 ili kumrejesha nyumbani mshambuliaji huyo matata mwenye magoli 42 katika ligi ya Spain hiyo ni kwa mujibu wa gazeti la SUN. Lakini pia goli kipa wa zamani wa Real Madrid Agustin Rodriguez amenukuliwa akisema ana uhakika wa uhamisho huwa kuwa Ronaldo atarea OT
      Agustin Rodriguez "Nadhani Iker Casillas anaelekea kuwaaga mabingwa watetezi wa kombe la ligi ya mabingwa ulaya na Christian Ronaldo pia

Comments

Popular posts from this blog

Putting African on Mobile market, through VMK

NIGERIAN SOLDIERS CATCH BOKO HARAM LEARDER ON BORNO.