
Wema na Lulu wameonekana kukinzana kimaoni kuhusiana na sheria mpya iliyopitishwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA ambako kila mmoja ameonekana kutoa mawazo tofauti kuhusiana na sheria hiyo mpya iliyoanzishwa kwa ajili ya kulinda mawasiliano kimtandao sheria itambulikanayo kwa jiba la CYBERCRIME imeanzishwa ikiwa ni sehemu ya kutoa funzo kwa yule atakaetoa maneno ya matusi mtandaoni atatozwa faini ya kiasi cha shilingi laki 7.5
Kwa upande wa LULU ameonekana kuunga mkono sheria hiyo huku akirudi mtandaoni kwa nguvu zote na kudai kuwa sasa atakuwa huru kushare na kupost vitu vyake lakini kwa WEMA hali imekuwa ni tofauti akiponekana kupinga sheria hiyo na kudai kuwa itawabana mashabiki wake kwani wasipomdisi kwa kumtukana atajijuaje kama hayuko sawa na atapataje kukosolewa
Comments
Post a Comment