Posts

Showing posts with the label EVENTS

LEO MESSI BECOME AN ARGENTINA MANAGER

Image
Leo Messi orders manager Tata Martino to make substitutions during Copa America semi v Paraguay [Video] It looks as though Barcelona superstar Lionel Messi has realised that playing football has got a bit too easy for him and has now moved into the world of football management. The global icon has been filmed apparently giving instructions to current Argentine manager Tata Martino during Argentina’s 6-1 victory over Paraguay in the Copa America Semi final on Wednesday. It looks as though the coach listened to the instructions as changes were made soon after the discussion with Messi. Take a look and judge for yourself .

Sababu kwa nini Barcelona imesajili wakati wamezuiliwa

Image
Watu wengi wanahoji kwa nini Barcelona imesajili na kupata sign ya mchezaji wa zamani wa Sevilla Alex Vidal kwa sasa ni mali ya Barcelona ambae alikuwa moto katika fainali ya europa na kuisadia timu yake hiyo ya zamani kuwa mabingwa kwa msimu wa pili mfululizo na mara baada ya fainali ya mabingwa ulaya kuisha na Barca kuchukua ubingwa kwa ushindi wa goli 3 kwa 1 dhidi ya Juventus Barcelona walifanikiwa kuingia makubaliano na Alex Vidal ambapo jamaa amesaini dili litakalomuweka Camp nou kwa misimu mitano ingawa hatocheza mechi yoyote katika msimu wa kwanza mpaka Barcelona watakapotoka katika kifungo cha kuzuiliwa kusajili lakini mbali na kuzuiliwa kucheza Vidali hatozuiliwa kupokea mshara wake waliokubaliana na Barca na atagonga mpunga wake kama kawa ila hatoweza kucheza mpaka msimu wa pili. Barcelona ilikatazwa kufanya usajili mara baada ya kuvunja sheria ya fifa kusajili wachezaji chini ya umri wamiaka 18 lakin Barcelona hawakuzuiliwa kuingia makubaliano na timu fulani au wachezaji ...

Christian Atsu will leave Everton

Image
Christian Atsu said on his facebook page that he would leave his club in this transfer season " I would like to take this opportunity to thank everyone at Everton for making me feel welcome during my time there this season. The fans, the staff, my teammates have all been very supportive" He add " I'm sorry that things didn't work out for me but I must look forward and am keen to take the next step in my football career. God bless everyone.  #Godisthereason  @everton"

Messi amburuza Ronaldo huku Alexis Sanchez kumipiku Hazard katika tuzo za msimu

Image
Wakati Leo Messi akitangazwa kuwa ni mchezaji bora wa mwaka katika ligi ya Uhispania kwa kunyakua asilimia 55.87 dhidi ya 35.37 asilimia alilozipata hasimu wake Cristiano Ronaldo ambapo Messi alionekana kuwa bora zaidi ya Ronaldo mara baada ya kuiwezesha timu yake kunyakuwa ubingwa wa ligi ya hispania kwa kuifungia magoli muhimu  na kutengeneza magoli mawili zaidi ya hasimu wake ambae alionekana kuwa vizuri zaidi katika ufungaji msimu huu huku akiwa tayari amefunga msimu kwa kufunga magoli 61 dhidi ya 56 ya Messi ambae amebakiwa na mechi mbili mkononi. Upande wa pili mchezaji hatari wa zamani katika timu ya Barcelona ambae kwa sasa anakipiga katika klabu ya Arsenal Alexis Sanchez ametajwa kuwa mshindi wa tuzo ya mashabiki ya PFA kwa msimu huu akimpiku Hazard wa Chelsea na Sergio Kun Aguero na mlinda mlango David de Gea

Leo Messi beats Cristiano Ronaldo wins AS` player of the year

Image
  Messi came first in the poll after receiving 55.87 percent of the vote, with Ronaldo finishing in second with 35.37 percent. The Argentina international helped Barca to lift the Primera Division title this season, while he also topped the league's assists charts with 18. James Rodriguez become the third one after receiving 5.89 percent of the vote with his 13 assist this season Antoine Grieziman of A. Madrid with Neymar of Barcelona at the forth and firth place after receiving 1.7 percent of the vote and 1.17 respectively

[WATCH VIDEO] CRISTIANO RONALDO AONYESHA UBINAFSI WA MAFANIKIO KULIKO TIMU YAKE YA REAL MADRID

Image
Katika siku za karibuni Cristiano Ronaldo aekuwa ni mtu wa kutafuta mafanikio binafsi na sifa binafsi kuliko mafanikio ya timu yake na wachezaji wenzake mara kadhaa amekuwa akionekana kugadhibika pale anapoona mchezaji fulani amefunga yeye akiwa hajafunga huwa haungani nae katika kushangilia ushindi wa goli husika au hata akienda huwa haonyeshi furaha ya goli lililofungwa au huonyesha hasira zaidi pale anapokuwa katika nafasi ya kufunga halafu akatokea mchezaji mwenzie na kufunga goli hilo yeye huonekana ni mtu mwenye hasira mithiri ya mtu aliyejifunga goli langoni mwa timu yake lakini yote kwa yote kubwa zaidi ni juzi baada ya wao kupata ushindi wa goli 4 kwa moja dhidi ya Espanyol ambako aliweka goli tatu na kufanikiwa kufikisha hat-trick ya 33 katika maisha yake ya soka na 26 katika ligi ya Hispania alionekana kuwa ni wenye furaha zaidi kuliko wote waliokuwa uwanjani kwa Espanyol walikuwa na huzuni ya kupoteza mchezo huwo na mashabiki na wachezaji wa Real Madrid walionekana kuwa ...

PEPE STOP CRISTIANO RONALDO TO CELEBRATE HIS OWN HAT-TRICK [WATCH]

Image
This was almost Cristiano Ronaldo in self-parody mode yesterday. When the final whistle blew at Espanyol, signalling a 4-1 win for Real Madrid, the 2015 Ballon D’Or was pressed to retrieve the match ball, which he was entitled to having scored a brilliant (and perfect) hat-trick. Marcelo launched the ball in Ronaldo’s direction, and he caught it earnestly, and looked very satisfied once he had it in his grasp. But his private hat-trick celebrations didn’t impress Pepe, who approached him and told him to tone it down – considering Real Madrid had just officially lost on the Liga title, Ronaldo’s celebration wasn’t really appropriate. He took Pepe’s advice on board, and immediately changed his demeanor, remembering to applaud the travelling fans.

DIAMOND ATOA MANENO YA KEJERI KWA ALIKIBA NA MATUSI KWA WEMA NA JOKATE

Image
Maneno aliyoyatoa Diamond msanii ambaye anaonekana kuwa wa kimatatifa zaidi kwa sasa juu ya Jokate na Wema kuonekana kuwa upande wa team Kiba yameonekana kuwa vijembe na matusi kwa watoto hawa wa kike

CHRISTIANO RONALDO GETS REVENGE ON GARETH BALE`S POOR PASS

Image
Cristiano Ronaldo gives Gareth Bale death stare for poor pass, childishly gets revenge on him [Video] By  Paul May 16, 2015 Comments 4 Gareth Bale has come in for heavy criticism for his performances at Real Madrid this season, but his defenders and fans protest that the Welshman isn’t getting enough support from his teammates. Indeed, there’s a growing feeling that Bale is being intimidated by dressing room leader Cristiano Ronaldo, who has visibly shown frustration at the Welshman on several occasions during games this season. And this footage from Real Madrid training today is pretty damning and conclusive. After a weak pass from Bale which put Ronaldo in trouble, Ronaldo hit Bale with a death stare, which Bale only missed thanks to Pepe’s intervention. Ronaldo then childishly took revenge on Bale, by purposely giving him a weak pass later on, meaning Bale would have to go into the middle. Ronaldo is clearly picking on Bale and treating hi...

WATCH [VIDEO] CHRISTIANO RONALDO GETS REVENGE ON GARETH BALE`S POOR PASS

Image
Cristiano Ronaldo gives Gareth Bale death stare for poor pass, childishly gets revenge on him [Video] Gareth Bale has come in for heavy criticism for his performances at Real Madrid this season, but his defenders and fans protest that the Welshman isn’t getting enough support from his teammates. Indeed, there’s a growing feeling that Bale is being intimidated by dressing room leader Cristiano Ronaldo, who has visibly shown frustration at the Welshman on several occasions during games this season. And this footage from Real Madrid training today is pretty damning and conclusive. After a weak pass from Bale which put Ronaldo in trouble, Ronaldo hit Bale with a death stare, which Bale only missed thanks to Pepe’s intervention. Ronaldo then childishly took revenge on Bale, by purposely giving him a weak pass later on, meaning Bale would have to go into the middle. Ronaldo is clearly picking on Bale and treating him like an outcast, and poor Bale clearly doesn’t have t...

KOCHA WA REAL MADRID ASIMAMISHWA MICHEZO MIWILI

Image
Kocha mkuu wa klabu ya Real Madrid abayo iko nyuma kwa alama nne nyuma ya Barca wanaongoza ligi katika msimamo wa ligi kuu ya Hisapania amesimamishwa au kuzuiliwa kuiyongoza timu yake katika michezo miwili katika ligi kuu ya Hispania. Mara baada ya mchezo dhidi ya Vallencia ambao waliambulia suruhu na kuweka pengo la alama nne dhidi vinara wa ligi hiyo Carlo Ancelotti alionekana kupanda hasira na kumvaa refa huku akidai kuwa kachezesha vibaya mchezo huwo na kusababisha kuongeza pengo la pointi katika mbio za kusaka ubingwa wa ligi hiyo. Katika mchezo huo tulishuhudia Ronaldo akikosa mkwaju wa penati na mpaka mwisho matokeo yakawa ni suruhu pacha ya goli 2-2        Kwa hivyo basi Ancelotti atakosa kuiyongoza timu yake hiyo kwa msimu huu mpaka msimu ujao kwa kuwa idadi ya mechi mbili alizosimamishwa ndizo idadi ya mechi zilizobaki katika ligi kwa hiyo hatokuwepo dhidi ya Espanyol na Getafe        Barcelona wao wanaongoza ligi kwa tofauti ya poin...

After 9 goals in seven games what haters say

Image
 QPR midfielder Joey Barton may not be the greatest player to ever grace the Premier League, but his opinions certainly carry some weight on Twitter. Barton is closing in on 3 million Twitter followers and has long held the view that Barcelona and Brazil star Neymar isn’t particularly good. It all started in February 2013, when Neymar played in a 2-1 defeat for Brazil at Wembley against England and failed to make much of an impact on the international game. Since then, Barton has labelled Neymar as a “show pony” and the “Justin Bieber of football,” which when you consider his exploits for Santos, Brazil and Barcelona seems a little harsh. Of late though, Neymar has moved to a different level of quality, scoring an amazing nine goals in seven games as Barcelona have romped to the verge of an astounding treble. On Tuesday night, after Neymar scored two first half goals against Bayern Munich, Joey Barton appeared to finally change his mind about the Brazilian. See the...

BREAKING NEWS RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI KAPINDULIWA NA JESHI LA NCHI HIYO

Image
  Ripoti kutoka Bujumbura zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa Burundi Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi itakayotawala taifa hilo kwa kipindi cha mpito. Kulingana na taarifa iliyopeperushwa na redio Isanganiro, serikali ya Nkurunziza imeon'golewa madarakani. Meja Generali Niyombareh amesema wamechukua hatua hiyo baada ya watu wa Burundi kukataa kwa kinywa kipana awamu ya tatu ya urais wa Nkurunziza. Jenerali huyo aliyetimuliwa na Nkurunziza mwezi februari anasema kuwa Nkurunziza alishindwa kuheshimu mwafaka wa amani mbali na sheria za kimataifa. Kwa sasa rais Nkurunziza yuko nchini Tanzania alipokuwa anatarajiwa kujumuika na viongozi wa kanda hii ya Afrika Mashriki kutafuta suluhu ya mgogoro wa Burundi tangu Nkurunzinza atangaze nia yake ya kuwania awamu ya tatu. Jenerali Niyombareh alikuwa ameandamana na vio...

SHILOLE AJIWEKA MTUPU SHOO ZAKE ZA NJE YA NCHI HATARI KWA WATOTO

Image
Mara kadhaa nimekuwa nikimsikia huyu dada msanii ambae nakubali kazi zake pia napenda maumbo yake akiyachezesha kwa jukwaa na kuwavutia  mashabiki wake mara zote amekuwa ni mtu wa kujiachia na kujiweka uchi na kujiacha wazi kimaumbile na kuacha wazi sehemu zake za mwili       Shishi mara nyingi amekuwa akijitamba kuwa wa kimataifa zaidi na kudai kufanya korabo na wasanii wa nje wakubwa kama Beyonce ambako mara kadhaa Yasinta alimpinga na kumuona muongo ila kwa sasa ameonekana kupata shoo kadhaa za nje ya nchi ambazo amekuwa akijiacha uchi zaidi ya afanyavyo katika shoo za ndani ya nchi alipokuwa jukwaani alibambiwa vya kutosha kwa maana shoo wanazoenda wasanii wengi wa Tanzania hazina majukwaa makubwa majukwaa yake ni ya chini ni kama baa flani au sebure flani ambapo msanii hawezi kuwekewa ulinzi wa kutokuguswa au kukumbatiwa lakini pamoja na hayo Shilole alionekana kujiweka uchi kwanza kwa mavazi aliyovaa lakini pia aliposhikwashikwa aliachwa kifua wazi na bila k...

LIONEL MESSI NI MCHEZAJI BORA WA MUDA WOTE

Image
Kocha wa zamani wa klabu ya Barca PEP GUARDIOLA ameibuka na kusema kuwa Messi ni mchezaji bora wa muda wote akionekana kumfananisha na mchezaji mkongwe wa Brazil PELE. PEP aliyasema hayo jana baada ya kuishuhudia Barca ikikiondoa kikosi chake cha Bayern munich katika michuano ya ulaya kwa jumla ya magoli matano kwa matatu ambapo kwa siku ya jana Bayern waliibuka na ushindi wa goli 3-2 lakini pamoja na ushindi huo haukutosha kuizuiya Barca kuelekea BERLIN ambako ndipo finali hiyo itafanyika mnamo tarehe 6 juni.          "Messi ni mchezaji bora wa muda wote" alisema PEP "Naweza nikamfananisha na PELE na najisikia furaha kumuona katika ubora wake ule ule ambao alikuwa akiuwonyesha akiwa chini yangu" alisema PEP ambae alipata mafanikio wakati MESSI akiwa katika ubora wake kama sasa wakati ambao kocha huyo alikuwa akiinoa Barca kuanzia mwaka 2008 mpaka 2012 na kufanikiwa kubeba ubingwa wa ulaya mara mbili mwaka 2009 na mwaka 2011

Alichokisema Jackie Chan baada ya mtoto wake kukamatwa kosa la uvutaji unga

Image
TNP PHOTO JACKIE CHAN ON SON'S DRUG ARREST: I FEEL ASHAMED AND MY HEART HURTS May 7, 2 015  Hong Kong superstar, Jackie Chan, 61, told The New Paper on Thursday he felt ashamed that his son, Jaycee, 32, served a six-month jail sentence for drug offences last year. Chan is Singapore's new anti-drug ambassador and made a special appearance at Nanyang Polytechnic today (May7).  He said he felt more compelled to take on this role because his family was also a victim to drugs. Jaycee was released from jail in February. Chan said: "I am shocked that this happened to my own family. I feel ashamed and my heart hurts. I will do my best to help others now."  He said his son was afraid to face the media and the world and was in hiding. Chan added: "However, I told him he needs to be brave because everyone makes mistakes." 

Ferdinand azidi kupitiya wakati mgumu

Image
Rio ferdinand Mke wa aliyekuwa nahodha wa kikosi cha Manchester United pamoja na timu ya Uingereza Rio Ferdinand amefariki kutokana na saratani. Mlinzi huyo wa kilabu ya QPR mwenye umri wa miaka 36 alitoa taarifa akisema mkewe mpendwa Rebecca Ellison aliaga dunia katika hospitali moja ya London. Marehemu Elison mwenye umri wa miaka 34 aliyeoana na Ferdinand mwaka 2009 alikuwa akiugua saratani ya titi. Rio Ferdinand na marehemu mkewe Amewaacha watoto watatu.katika taarifa hiyo Ferdinand amesema kuwa mkewe alifariki ijumaa usiku. ''Rebecca,mkewe wangu alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi na saratani katika hospitali ya Royal Marsden mjini London'',alisema mchezaji huyo wa soka

Avoid the following words when you travel abroad

Image
The Washington Post If you travel abroad frequently for work, or if you have an e-commerce store with customers from all over the world, it’s worth noting that there are a number of English words that, phonetically, don’t work in other countries and can lead to double entendre or unintended offence territory. Here are 20 of them to help you ensure that your communication isn’t lost in translation. See also:   9 Words or Phrases Millennials Should Avoid Using in the Workplace France Preservative . Avoid asking about preservatives in France; you’ll probably be met with strange looks. It means ‘condom’ in France. Norway Pick . If you’re visiting Norway, don’t use the word ‘pick’. Your Norwegian colleague is unlikely to be impressed - it means ‘dick’ over there. Fitter . Does your business specialise in fitness products? Be mindful that in Norway, the word ‘fitte’ refers to a woman’s genitals. Turkey Peach . Going to Turkey? A...

TAARIFA KUHUSIANA NA VIFO VYA WATANZANIA WATATU AFRIKA KUSINI

Image
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Simu: 255-22-2114 615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tz Barua pepe: gcu@nje.go.tz Tovuti : www.foreign.go.tz Nukushi: 255-22-2116600                               20 KIVUKONI FRONT,                            P.O. BOX 9000,                   11466 DAR ES SALAAM,                                     Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, amesema leo kuwa hakuna Mtanzania kati ya watu wanane waliouwawa katika mashambulizi dhidi ya wageni huko Durban na Johannesburg nchini Afrika ya Kusini. Mhe. Membe amewaambia waandishi wa habari jijini ...

Kanumba day tumuenzi kwa kazi zake, Kigosi usijipambe tutangaze kama Kanumba

Image
 Tarehe kamaya leo tulimpoteza mtu muhimu sana katika tasnia ya filamu za hapa nchini maarufu kama Bongo move Alijulikana kama king wa filam nchini Tanzania ambae aliipeperusha vyema bendera ya nchi yake na kufika mbali zaidi kimafanikio na alitoboa kwa filamu zaidi ya waimba mziki sio mwingine ni Steven Kanumba ambae hatupo na takribani kwa miaka minne mpaka sasa kama utani tulisikia amedondoka na usiku wa kuamkia kama siku kama ya leo na asubuhi yake taarifa za kuthibitisha kifo chake zilisambaa kama utani wengine tukabaki kukanusha huku tukitoa kauli ya kudai kuwa tarehe 1 mwezi April ni siku ya wajinga na sio siku kama ya leo ya tarehe 7 April tulihisi ni utani ila tuliona zaidi mitandaoni huku picha iliyosambaa iliyomuonyesha akiwa kalala ikisambaa zaidi  Alifanya vizuri katika tasnia ya Bongo move ambako alijitangaza kimataifa na mpaka sasa binafsi sijaona wa kuziba pengo lake maana filamu nyingi zimekuwa na kasoro kadhaa na nyingi zikiwa hazijulikani kisa cha fila...