ARDA TURAN AZIKANA MAN U NA CHELSEA
Kuna taarifa zisizo rasmi zilisambaa kuwa Arda Turan kiungo mshambuliaji wa Athletico Madrid kuwa anatarajia kutua kati ya Manchester united na Chelsea taarifa hiza zimekanushwa vikali na mchezajia huyo na ameweka wazi kuwa anakaribia kutua Barcelona na ameyaandika hayo kwa kupitia mtandao wake wa twita
Comments
Post a Comment