Manchester united na Arsenal zajiandaa kumsajili Benzema

Manchester united na klabu ya Arsenal ya jijini London waeonekana kumuwania mshambuliaji wa Real madrid na kuhitaji huduma ya mchezaji huyo ambaye anaonekana kama ataihama klabu yake hiyo ya jijini Madrid na ada inayotakiwa si chini ya euro 35m lakini kwa upande wa wakala wa mchezaji huyo amekanusha taarifa zilizozagaa kuwa atahamia kati ya klabu hizo mbili ambapo kwa amedai kuwa mfaransa huyo hana atakachokifata man u kwani ana furaha ya kutosha akiwa Bernabeu na anahitaji kustaafu soka lake akiwa Madrid na kumalizia maisha yake ya soka akiwa Bernabeu

Comments

Popular posts from this blog

Bad news for Manchester United Manchester City and Arsenal in UEFA Champions League

State’s financial support to farming reaches 1tri/-