Firmino kutua England ni Man U, Man city au Liverpool
Roberto Firmino atarajiwa kutua katika ligi ya Uengereza ambapo wakala wake ametamka wazi kuwa mteja wake anatarajiwa kukipiga katika ligi hiyo ingawa hakuweka wazi kuwa atatua katika timu ipi ambazo zinamuwania ni Liverpool ambapo ataenda kuwa mbadala wa Raheem Starring, Man city au ni Man United ambapo Van Gal ameweka wazi nia ya kumchukua kiungo huyo ambaye kwa misimu kadhaa akiwa katika ligi ya ujerumani alicheza michezo 153 na kutupia magoli 49 akiwa kama midifilda

Comments
Post a Comment