Wenger ajitamba baada ya ushindi dhidi ya Liverpool
Mocha wa timu ya Arsenal ameonyeshwa kufurahishwa na kikosi chake baada ya kunyakua point tatu mbele ya mashabiki wake pale emirates ambako walijichinjia jogoo lao la pasaka kwa ushindi wa goli 4 kwa 1 dhidi ya Liverpool
Baada ya ushindi huo Arsenal ilikaa katika nafasi ya pili wakiwa na point 63 nyuma ya Chelsea kwa point saba huku Chelsea ikiwa na kiporo cha mechi moja mkononi wakifuatiwa na Manchester city wenye point 61 huku wakiwa wanamchezo mkononi kitu ambacho endapo Manchester city wakishinda watawaporomosha Arsenal hadi katika nafasi ya tatu
Arsenal wameshinda mechi 10 kati ya 11 walizocheza mfulilizo kitu ambacho kinadhihirisha ni wazi wanaweza kumaliza katika nafasi ya pili msimu huu endapo wataendeleza ushindi, Arsenal haikuwahi kumaliza katika nafasi ya pili tangu waliponyakua ubingwa wa ligi ya EPL mwaka 2005
Wenger amedai kuwa timu yake iko vizuri kwa sasa "timu iko sawa kwa sasa tuna funga na tumeshacheza michezo 31 na tuna magoli 62 ya kufunga"
Wenger aliongeza "mbali na kufunga pia tunajilinda vizur ukimuangalia mchezaji kama Coquelin amekuwa mzuri kuzuia mashambulizi mfano katika kimbindi cha kwanza dhidi ya Liverpool alizuia mashambulizi ya kutosha na tukiangalia mbele tuna michezo saba kumalizia msimu huu wa ligi " Ni mapema mno kuzungumzia kumaliza katika nafasi ya pili lakini kiukweli tuko vizuri na tutaweza endapo tukifanikiwa kuongeza wimbi la ushindi ila huwezi kudanganya tuko vizuri" Wenger aliongeza....

Comments
Post a Comment