Orodha ya wachezaji wanaowania uchezaji bora EPL bofya hapa

Viongozi wa ligi kuu England imetoa orodha ya wachezaji watakao wania uchezaji bora wa kiume na mchezaji bora chipukiza wa kiume huku star wa Spurs Harry Kane akionekana sehemu zote mbili
Lakini pia tunaiyona timu inayoongoza ligi Chelsea ambayo kwa sasa katika mazoezi yao wameanza kujifunza jinsi ya kusherehekea ubingwa wao wametoa wachezaji watatu tofauti katika vinyang'anyiro vyote viwili wakifuatiwa na Liverpool ambao wametoa wachezaji wawili na timu zingine Arsenal, Man U, na Spurs zote zikiwa zimetoa mchezaji mmoja mmoja. Ufuatao ni muonekano wa vinyang'anyiro hivyo

     MCHEZAJI BORA WA KIUME
Diego Costa (Chelsea)
David De Gea (Manchester united)
Philippe Coutinho (Liverpool)
Eden Hazard (Chelsea)
Harry Kane (Tottenham Hotspurs)
Alexis Sunchez (Arsenal)

MCHEZAJI BORA WA KIUME CHIPUKIZI
Thibaut Courtois (Chelsea)
Philippe Coutinho (Liverpool)
David De Gea (Manchester united)
Eden Hazard (Chelsea)
Harry Kane (Tottenham Hotspurs)
Raheem Sterling (Liverpool)

Comments

Popular posts from this blog

Bad news for Manchester United Manchester City and Arsenal in UEFA Champions League

State’s financial support to farming reaches 1tri/-