Neymar Jr na Willian wa Chelsea wazidi kukinukisha ulaya

Nahodha wa timu ya taifa ya Brazil ambae pia ni mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Neymar Jr amezidi kukinukisha kwa kupitia bendera ya taifa lake la Brazil kwa kunyakua tuzo ya Samba Goldy tuzo ambayo hutolewa kwa wachezaji wa kibrazil wanaocheza soka la kimashindano ulaya ambapo kwa mara yake ya kwanza Neymar amenyakua tuzo hiyo kwa mwaka 2014 sababu ya Neymar kubeba tuzo hii ni kiwango safi alichokionyesha akiwa na klabu yake ya Barcelona na mpaka sasa anashika nafasi ya tatu katika orodha ya wafungaji akiwa na magoli 17 nyuma ya Christian Ronaldo mwenye magoli 31 katika ligi ya Laliga nchini Hispania
Katika orodha hiyo nafasi ya kwanza ilichukuliwa na Neymar nafasi ya pili ilichukuliwa na wachezaji wawili waliofungana kwa point nao ni Miranda wa A. Madrid na Willian wa Chelsea na nafasi ya tatu ilichukuliwa na mshindi Mara tatu mfululizo wa tuzo hii Thiago Silva wa PSG ya ufaransa
Tuzo hiyo ya Samba Goldy iliwahi kunyakuliwa na wachezaji kadhaa wengineambao ni -

Ricardo Kaka 2008
Luis Fabiano 2009
Maicon 2010
Thiago Silva 2011
Thiago Silva 2012
Thiago Silva 2013
Neymar Jr 2014

Comments

Popular posts from this blog

Bad news for Manchester United Manchester City and Arsenal in UEFA Champions League

State’s financial support to farming reaches 1tri/-