Leonel Messi akabiliwa na majeraha tena
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi anahofiwa kukosa mchezo wa ligi ya Laliga dhidi ya Celta Vigo mchezo utakaopigwa siku ya jumapili, Lionel Messi amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya mguu ambayo aliyapata wiki mbili zilizopita katika mchezo wa UEFA dhidi ya Manchester city na baadae kulazimika kucheza katika mechi ya el clasico dhidi ya mahasimu wao Real Madrid kulimpelekea kupata maumivu zaidi na kusababisha kutoitumikia timu yake ya taifa ya Argentina ingawa taarifa za awali zilikanusha na kudai kuwa atakuwepo ila tukashuhudia kukosa kwa nahodha huyo wa timu ya taifa ya Argentina ambapo kitambaa chake kilivaliwa na mchezaji mwenzie katika klabu ya Barcelona Mascerano aliyoiyongoza timu hiyo kupata ushindi wa goli 2-0 katika mchezo wa kwanza dhidi ya El Salvador na mchezo wa pili walitoka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Ecuador ya Antonio Valencia.
Mchezaji huyo muhimu na Muhimbili mkubwa katika kikosi cha Barcelona amehofiwa kutokuwepo katika mchezo huo dhidi ya Celta Vigo hivyo kupelekea wasiwasi mkubwa katika muenendo wa klabu hiyo inayohitaji kushinda mechi zake 8 name zilizombele yao katika ligi ili kunyakuwa ubingwa wa ligi huku kwa sasa wakiwa wameweka wigo wa point nne dhidi ya mahasimu wao Real Madrid
Gerald Pique ambae ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester united ametwite katika mtandao wake akidai kuwa Messi atakuwepo katika cku ya jumapili kuwakabili Celta Vigo

Barcelona
Comments
Post a Comment