Kanumba day tumuenzi kwa kazi zake, Kigosi usijipambe tutangaze kama Kanumba
Tarehe kamaya leo tulimpoteza mtu muhimu sana katika tasnia ya filamu za hapa nchini maarufu kama Bongo move
Alijulikana kama king wa filam nchini Tanzania ambae aliipeperusha vyema bendera ya nchi yake na kufika mbali zaidi kimafanikio na alitoboa kwa filamu zaidi ya waimba mziki sio mwingine ni Steven Kanumba ambae hatupo na takribani kwa miaka minne mpaka sasa kama utani tulisikia amedondoka na usiku wa kuamkia kama siku kama ya leo na asubuhi yake taarifa za kuthibitisha kifo chake zilisambaa kama utani wengine tukabaki kukanusha huku tukitoa kauli ya kudai kuwa tarehe 1 mwezi April ni siku ya wajinga na sio siku kama ya leo ya tarehe 7 April tulihisi ni utani ila tuliona zaidi mitandaoni huku picha iliyosambaa iliyomuonyesha akiwa kalala ikisambaa zaidi
Alifanya vizuri katika tasnia ya Bongo move ambako alijitangaza kimataifa na mpaka sasa binafsi sijaona wa kuziba pengo lake maana filamu nyingi zimekuwa na kasoro kadhaa na nyingi zikiwa hazijulikani kisa cha filamu wala mwisho wake
Tulimpenda ila wakati wake umeisha kwa sasa Bongo move imebaki na Vincent Kigosi ambae anapaka rangi nywele na kuvaa heleni na piko akihisi ni njia ya kujitambulisha kimataifa lakini filamu zake nazo ni tatizo pia

Comments
Post a Comment