Henry alikubali kuwa mchezaji chini ya kocha Steven Gerrard pale An field Liverpool
Tukielekea katika michezo ya ligi ambayo inatarajia kuanza rasmi jumamosi ya leo tukumbushane kidogo mechi ambayo ilichezwa wakati wa kipindi hiki cha wiki mbili ambacho wengi tulikuwa tukizitazama timu za taifa
Wakati timu za taifa zikichuana vikali katika mechi za kirafiki na zingine zikiwania kufuzu michuano ya mataifa ya ulaya pale Anfield kulikuwa na mechi ya kukata na shoka kilichokutanisha vikosi vya wakongwe wa Liverpool ambao ni Steven Gerrard na Jamie Carragher ambao kila mmoja alichagua wachezaji wake ambao walitoka timu tofauti ila wengi wao ni wale waliowahi kukanyaga dimba la Anfield mawili awe alicheza katika kikosi cha Liverpool au timu yoyote ambayo ilichuana uwanjani hapo
Turudi katika vikosi ambavyo vilipewa majina kimoja kiliitwa GERRARD XI kilichovalia uzi mweusi na kingine ni CARRAGHER XI kilichovalia uzi mweupe
Gerrard XI kikosi cha kwanza kulikuwa na:
Jones ambae ni goal kipa
Johnson
A. Gerrard
John Terry
Rise
Steven Gerrard
Xabi Alonso
Nolan
Babel
T. Henry
Sinclair
Wachezaji wa akiba ni :
Dann
Williams
Suarez
F. Torres
Adam
Spearing
Warinock na
Teixeira
Kwa upande wa Carragher XI
Kipa ni Pepe Raina
Arbeloa
Kelly
Carragher
Flanagan
Downing
Shelvey
Lucas
Kewell
Drogba
Balotelli
Wachezaji wa akiba ni
Gulacsi
Garcia
No one
Moreno
Clichy
Borini
Bellamy
Kimchezo kila timu ilicheza vizuri na kila mmoja kwa upande wa Gerrard na Carragher walitaka kuacha heshima na historia huku kila mmoja akiwa na ndoto za ukocha ktk klabu ya Liverpool lakini mwisho wa siku vikosi vyao vilitoshana nguvu kwa sare ya ambao mawili kwa mawili
Timu ya Carragher ilikuwa ya kwanza kupata bao mnamo dakika ya 9 ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji mtukutu Balloteli aliemalizia pasi maridadi kutoka kwa kocha wake Carragher lakini bado hawakuishia hapo waliongeza bao la pili kupitia kwa mshambuliaji hatari wa kiafrika Drogba ambae alipokea pasi safi kutoka kwa Balloteli ambapo alimtoka kipa na kubaki nyavu kisha kufunga kiulaiini mnamo dakika ya 22
Mpira uliendelea huku kila mmoja akitaka kuonyesha ujuzi wa hali ya juu huku Henry mchezaji wa zamani wa Arsenal akitoa pasi kiufundi zaidi akionyesha kuwa bado yumo lakini Babel hakuipa heshima ile pasi akakosa goli la wazi dakika ya 37 kocha Gerrard aliifungia timu yake bao la penalty iliyopatikana baada ya Sinclair kuangushwa ndani ya eneo la hatari ambapo tulishuhudia akimuuza Reina
Kipindi cha pili tuwashuhudia wafungaji hatari wa zamani wa klabu ya Liverpool wakirejea uwanjani nao si wengine ni Torres alievalia jezi yake ya zamani nambali tisa mgongoni na Suarez alivaa uzi wake namba 7 ambao waliingia baada ya Babel na Henry kutolewa na mabadiliko hayo yalizaa matunda mnamo dakika ya 68 Suarez Mzee wa kutafuta penalty alipoguswa na Carragher akaanguka eneo la hatali ambapo Gerrard hakufanya makosa katika penalty nyingine alifunga pia na mwishowe matokeo yakawa ni sare ya 2 - 2

Comments
Post a Comment