Roberto usiemjua aipaisha Brazil
Star wa Barcelona Neymar amefanikiwa kuipa ushindi timu yake ya taifa baada ya kupata ushindi wa goal moja bila majibu katika mchezo uliochezwa jijini London dhidi ya Chile iliyokuwa ikiongozwa na Alex Sunchez katika uwanja wake wa nyumbani wa Emirates goli safi lilifungwa na Roberto Frimino wa Brazil alieingia kama mchezaji wa akiba katika kipindi cha pili tukishuhudia mlinda mlango namba moja wa klabu ya Barcelona Claudio Bravo akishindwa kucheza mpira huo uliopgwa kiufundi na Roberto ushindi huo umeifanya Brazil kushinda takribani michezo sita mfululizo baada ya vipigo viwili vya aibu katika fainali za kombe la dunia zilizopigwa katika ardhi yao vipigo hivyo ni ile wiki (goli saba) waliyopata kutoka kwa washindi wa kombe hilo Ujerumani na kingine ni kile cha kutafuta mshindi wa tatu na wa nne walicho kula goli tatu kutoka kwa Uholanzi ambapo katika michezo hiyo miwili walipokea jumla ya magoli 10-2. Lakin haukuwa mwisho wao wa Brazil kutokung'aa sababu walitafuta tatzo na kufanya mabadiliko katika banch la ufundi huku Dunga akichukua mikoba hiyo na kuwarejesha baadhi ya wachezaj na wakongwe katika kikosi cha taifa lake na kufanikiwa kuing'arisha Brazil tena. Shukurani za dhadi zimuendee nahodha wa team hiyo Neymar ambae alikabidhiwa kitambaa hicho kutoka kwa aliyekuwa nahodha wa team hiyo Thiago Silva ambae alikuwa akisumbuliwa na majeruhi wakati wa fainali hizo za kombe la dunia za mwaka 2014 nchini Brazil
Ahsante kwa kutembelea swahilimagazinetz.blogspot. com by T-boy
Ahsante kwa kutembelea swahilimagazinetz.blogspot. com by T-boy
Comments
Post a Comment