England yamuingiza Kane katika ugomvi wa Messi na Christian Ronaldo
England imeanza harakati za kutaka kumpaisha Harry Kane mchezaji wa Spurs ambae pia ni raia wa chini humo ili aweze kunyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014/15 katika vita ambayo kwa miaka nane mfululizo imekuwa ni vita ya Messi na CR7 ambao wachezaji hao wameonekana kuwa bora zaidi na kusemekana ni wa sayari nyingine lakini England wanahitaji Kane achukue tuzo hiyo ambayo hucheza katika mikono ya waliobora zaidi
Kane kwa sasa anaongoza katika orodha ya wafungaji katika ligue hiyo ya nchini kwao akifungana na Diego Costa wa Chelsea wote wakiwa na magoli 19 lakini nyuma yuko yule aliezoeleka kukimbiza kijiti cha magoli Sergio Khun Agüero wa Manchester city ambae ana magoli 17 akifuatiwa na kijana anaekuja mbio katika ufungaji Charlie Austin wa QPR mwenye magoli 15
Kwa ligi ya EPL ni ligi maarufu sana ambao umaarufu huo unatokana na lugha wanayoitumia lakini pia kujitangaza zaidi na kutoa nafasi za wawekezaji zaidi na mara kadhaa England wamekuwa ni watu wa kujali utaifa wao zaidi na kujipa sofa zaidi katika viombo vya habari hivyo kwa sifa na nguvu waliyonayo katika vyombo vya habari wanahitaji kuitumia nafasi hiyo kumpa uchezaji bora Kane
Tukirudi katika takwimu za ubora ambao unajumuisha wachezaji wa ligi zote ulaya Harry Kane haonekani katika ile tatu bora kitu ambacho ni wazi hawezi kubeba tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwani amezidiwa na wachezaji wenzie kadhaa ambao anacheza nao katika ligi moja mfano katika ukokotaji wa mipira Hazard kampita, katika kutoa pasi ngumu Fabregas na Ozil wamekaa juu pia kati ya wale wenye vipaji Hazard kakaa juu pasi za mwisho Fabregas kamfunika hii ni uthibitisho tosha kuwa hana ubora zaidi ya wengine kwa kuwa hana anachokioffer zaidi ya kufunga ila ni utaifa tu ndo unaoifanya board ya England kutaka kumpaisha me naona ni vyema wangempa Hazard maana anastahili ametokea mara nyingi katika nafasi tofauti ila kwa kuwa ni Mbeligiji basi atasubiri
Tukirudi katika takwimu za mshambuliaji bora wa dunia kwa mwaka huu zilizotolewa ziki angalia vigezo sita moja wapo ni mashuti golini mchango katika timu kutengeneza nafasi nyingi za magoli na kuutawala mchezo tunamuona Messi akiongoza gurudumu kama kawaida yake kwa 100% lakini akimuacha mpinzani wake Christian Ronaldo akiwa katika nafasi ya 29, hapa Harry Kane ameshika na fasi ya sita 57% huku akiwa ameachwa na watu kama Arjen Robben wa Bayern Munich katika nafasi ya pili 92%, Bas Dost wa Wolfsburg katika nafasi ya tatu 77%, Luis Suarez wa Barcelona katika nafasi ya nne 71% na Diego Costa katka nafasi ya tano 61%
Kwa takwimu hizo tu sijaona ubora wake mpaka abebe hii tuzo me naona ni vyema wakasitisha hill zoezi la kumpaisha mchezaji asiyekuwa na kiwango lakini pia wanaonekana kumpandisha bei katika vyombo vyao vya habari huku wakidai kuwa ameipiku bei aliyonunuliwa Bale kutoka Spurs kwenda Real Madrid

Comments
Post a Comment